Unaambiwa Simba si Wakufuga Kama Mbwa...Ona Huyo Simba Alivyomgeuka Anayemfuga na Kumtafuna Nyama
Bwana huyu ambaye anawapendwa wanyama Michal Prasek ameuawa na simba wake kipenzi aliyekuwa anamfuga nyumbani kwake jijini Zdechov katika Jamhuri ya Czech. Prasek alimnunua simba huyo 2016.
Babake aliyeupata mwili wake ndani ya zizi la simba aliwafahamisha waandishi wa habari kuwa zizi la simba lilikuwa limefungwa kwa ndani. Polisi waliwauawa simba hao wawili.
Kwa habari za haraka na zauhakika zaidi endelea kutembelea website ya https://dirampya.blogspot.com/ ili uwe wa kwanza kupata habari.
No comments