From # mrishompoto - @ diamondplatnumz Nasib Abdul nimekwita jina lako la kuzaliwa mimi kama kaka yako unaeniheshimu na kunisikiliza nakwambia.: RUGE MUTAHABA AMEFARIKI nakuomba NJOO UMZIKE ... Nimemaliza ....
Kwa habari za haraka na zauhakika zaidi endelea kutembelea website ya https://dirampya.blogspot.com/ ili uwe wa kwanza kupata habari.
Mrisho Mpoto Amfungukia Diamond "Ruge Amefariki Nakuomba Njoo Umzike"
Reviewed by HAMARI MEDIA
on
March 01, 2019
Rating: 5
No comments