Msanii Wa Muziki Wa Bongo Fleva Kutoka Katika Label Ya WCB, Harmonize Amefunguka Na Kutoa Siri Kuhusu EP (Extended Playlist) Yake Ya Afro Bongo.
Wiki Iliyopita Harmonize Aliachia Ngoma Nne Kwa Mpigo Alizozipa Jina La Afro Bongo Lakini Jana Ametoa Siri Kuwa Video Za Nyimbo Zake Zote Zipo Tayari Nne.
Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram, Harmonize Ameweka Wazi Kuwa Tayari Video Za Nyimbo Zote Nne Akizoziachia Ziko Tayari.
MHH ... !!! USICHOKIJUA NIKWAMBA NGOMA ZOTE ULIZOZISIKIA KWENYE #AFROBONGO VIDEO ZAKE ZOTE ZIPO TAYALI BASI HAPA NILIVYOKAA NI KAMA MZEE YUSUFU YANI SINA PLESHAAA KWENYE TAALUMA YANGU ... !! 🤣 OYAAA ... !!! LINK PA BIO × @ yemialade 🥁🎻🎶🎸 @ krizbeatz_ LET'S GO ... !!! ".
Kwa habari za haraka na zauhakika zaidi endelea kutembelea website ya https://dirampya.blogspot.com/ ili uwe wa kwanza kupata habari.
Harmonize Atoa Siri Kuhusu EP Ya Afro Bongo
Reviewed by HAMARI MEDIA
on
March 01, 2019
Rating: 5
No comments