Dereva wa Mwendokasi Kizimbani Kwa Kumkata Abiria Kidole
Khalid Shaha (43), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kujibu shtaka la kumkata kidole Godfrey Liwa kwa kioo cha gari
-
Hata hivyo mshtakiwa alikana kutenda kosa hilo na aliachiwa kwa dhamana hadi Machi 12, 2019
Kwa habari za haraka na zauhakika zaidi endelea kutembelea website ya https://dirampya.blogspot.com/ ili uwe wa kwanza kupata habari.
No comments