Baraza la Sanaa la Taifa(BASATA) limesitisha usajili wa Msanii Godfrey Tumaini(Dudubaya),kuanzia jana Alhamisi, 28 Feb 2019 .Hatua hiyo imechukuliwa baada ya msanii huyo kukamatwa na jeshi la polisi, kutokana na kutoa kauli zisizofaa kwenye mitandao ya kijamii dhidi ya Ruge Kwa habari za haraka na zauhakika zaidi endelea kutembelea website ya https://dirampya.blogspot.com/ ili uwe wa kwanza kupata habari.
No comments